ZIARA YA MAFUNZO NCHINI INDIA

  • Oct 22, 2014
  • 134 Views

Katibu Mkuu Wizara ya Diaspora nchini India Ndugu Shri. Prem Narain (Wa pili kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Ndugu Salum Maulid Salum wakibadilishana mawazo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara zao katika Wizara ya Diaspora nchini India, tarehe 30/9/2014

Diaspora2

Related Articles