Wasifu wa Marehemu Khamis Ali Khamis
- Sep 19, 2014
- 174 Views
Marehemu Khamis Ali Khamis alizaliwa tarehe 28 Oktoba, 1962 Zanzibar. Alianza elimu yake ya msingi mwaka 1969 na kumalizia elimu ya Sekondari hapa hapa Zanzibar mwaka 1983. Katika mwaka 1986…