Latest News and Events

Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi
miongoni mwa vifaa vilivyotolewa na Jumuia ya Wazanzibari wanaoishi nchini Dermark kwa ajili ya skuli ya sekondari ya Kidongo chekundu.
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibar wanaioshi nchi za nje Bi Adila Hilali vuai akikabithi Kompyuta pamoja na vifaa vyengine vilivyotolewa na AHAS GROUP kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Msingi Jangombe