WANADIASPORA WATOA MISAADA ZANZIBAR

  • Nov 13, 2016
  • 166 Views

Baadhi ya samani zilizotolewa na Wazanzibari wanaoishi Seattle nchini Marekani kama msaada kwa wananchi wa Zanzibar kusaidia upungufu wa madawati kwenye Skuli za Sekondari. Waliofaidika na msaada huo ni wanafunzi wa Skuli za Sekondari wa Lumumba na Tumekuja kwa Unguja na Fidel Castro na Madungu kwa Pemba.

Img 20161111 Wa0002
Img 20161111 Wa0010
Img 20161111 Wa0012
Img 20161111 Wa0011

Related Articles