Ufunguzi wa Semina ya Diaspora na Maendeleo na umuhimu wa Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

  • Dec 06, 2016
  • 151 Views

Aliyesimama ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimaifa na uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Ndugu Adila Hilal Vuai akitoa maelezo ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwajuma Majid Abdalla kufungua Semina ya siku moja kuhusiana Diaspora na Maendeleo na umuhimu wa Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na hatua zilizofikiwa kwa masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba iliyofanyika katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Madungu Chake chake Pemba

Related Articles