Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazanzibar Wanaoishi Scandinavia

Mwakilishi mkaazi wa jumuiya ya Wazanzibari Scandinavia ndugu Hamad Hamad akitoa maelezo kuhusu utekelezaji wa miradi mbali mbali ya Jumuiya.

Mjumbe maalum wa GoZanzibar Germany akipokea zawadi maalum kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Zanziabar.

Mwekiti wa Jumuia ya Waznzibari Scandinavia ndugu Idarus A Sharif akifunguwa mkutano wa mwaka wa Jumuiya.