Masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Semina ya Diaspora Chake Chake Pemba

  • Dec 06, 2016
  • 153 Views

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwajuma Majid Abdalla mwenye mtandio mwekundu akiwa katika picha ya pamoja na Masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba, kushoto ni Afisa Mdhamini wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimaifa na uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Ndugu Adila Hilal Vuai.

Related Articles