WANADIASPORA WATOA MISAADA ZANZIBAR
- Nov 13, 2016
- 185 Views
Baadhi ya samani zilizotolewa na Wazanzibari wanaoishi Seattle nchini Marekani kama msaada kwa wananchi wa Zanzibar kusaidia upungufu wa madawati kwenye Skuli za Sekondari. Waliofaidika na...
Kuelekea Kongamano la Diaspora 24-25 Agosti 2016
- Aug 02, 2016
- 163 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Redio za FM...
WANADIASPORA WA ZANZIBAR WAPONGEZWA KILA KONA
- Aug 01, 2016
- 172 Views
Masheha wa Wilaya ya Mjini pamoja na wananchi kutoka vijji mbali mbali na taasisi za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka Unguja na Pemba wamewapongeza na kuwashukuru Wazanzibari...
MASHEHA WILAYA YA MJINI WAPATIWA ELIMU JUU KUWEPO KITENGO CHA DIASPORA ZANZIBAR
- Jul 28, 2016
- 169 Views
Masheha katika Wilaya ya Mjini wametakiwa kuwa na utaratibu mzuri utakaohakikisha kwamba wanashirikiana vizuri na Wanadiaspora yaani wazanzibari wanaoishi nje ya nchi wakati wanapofika...
Semina ya diaspora kwa masheha wa Wilaya ya Mjini Zanzibar.
- Jul 28, 2016
- 169 Views
Picha ya pamoja iliyopigwa na washiriki wa semina ya Diaspora. Kutoka kushoto ni Sheha wa Shehia ya Mchangani ndugu Nassir Ali, Mkurugenzi wa Diaspora nd. Adila Hilal Vuai, Mgeni rasmi...