Latest News and Resources

Katibu Tawala Wilaya ya Kaskazini `A` kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Vuai Mwinyi Khamis akifungua semina ya Masheha wa Mkoa wa Kaskazini Unguja huko chuo cha Amali Mkokotoni.
Sheha wa Shehia ya Kikwajuni juu Bibi Asha Ali Sheha na Bibi Mtumwa Soud Said wa Shehia ya Amani ni miongoni mwa akinamama waliopata fursa ya kushiriki katika Semina ya elimu ya Diaspora
Mkuu wa Wilaya ya mjini ndugu Marina Joel Thomas akisoma hotuba ya ufunguzi wa semina ya kutoa elimu ya Mtengamano wa jumuia ya Afrika Mashariki na Diaspora kwa Masheha wa Wilaya Mjini iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni.