Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akutana na wazanzibari wanaoishi nchi za nje
- Aug 12, 2014
- 153 Views
Ilikuwa ni tukio la aina yake, wakati Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein alipokutana na Wazanzibari wanaoishi nchi za nje katika hafla...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nchi
- Aug 10, 2014
- 151 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nchi za nje (Diaspora) wakati alipowaalika katika chakula maalum katika...
Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) waalikwa Ikulu
- Aug 10, 2014
- 166 Views
Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) wakiwa katika hafla ya chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika...
MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAZANZIBAR WANAOISHI SCANDINAVIA
- May 04, 2014
- 170 Views
Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazanzibar Wanaoishi Scandinavia
SMZ yaandaa sera ya diaspora kuvutia walio nje
- Mar 21, 2014
- 151 Views
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema tayari imeweka mazingira mazuri ambayo yatasaidia Wazanzibari waliopo nje ya nchi kuwekeza Zanzibar na kusaidia katika miradi mbalimbali. Hayo...