Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zanzibar Maisha Bora Foundation na mke wa Rais wa Zanzibar mama Maryam Mwinyi akifungua mkutano wa mashirikiano kati ya Asasi za Zanzibar na Marekani amesema ushirikiano
- Aug 13, 2022
- 120 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zanzibar Maisha Bora Foundation na mke wa Rais wa Zanzibar mama Maryam Mwinyi akifungua mkutano wa mashirikiano kati ya Asasi za Zanzibar na Marekani amesema ushirikiano wa Asasi za kiraia kutasaidia kufikia malengo ya Serikali katika kufikisha maendeleo kwa wnanchi
