Latest News and Events

Katibu Mkuu Wizara ya Diaspora nchini India Ndugu Shri. Prem Narain (Wa pili kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Ndugu Salum Maulid Salum
Bi Hafsa Hassan Mbamba kwa niaba ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) akitoa neno la shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa mwaliko huo na kutoa pongezi kwa jitihada zinazochukuliwa.
Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) wakiwa katika hafla ya chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Picha ya pamoja ya wana Jumuiya Scandinavia na Ujumbe kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Sweden