Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (DIASPORA)

Idara hii inahusika na masuala ya uratibu wa  Ushiriki wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika shughuli za Kikanda na Kimataifa katika nyanja za kiuchumi, kijamii; pamoja na uratibu wa shughuli za Wazanzibari Wanaoishi Nje ya Nchi na kuhakikisha wanahusishwa kikamilifu katika Maendeleo ya Zanzibar.

Majukumu

1. Kuimarisha mtangamano wa Kikanda ili kuweza kutumia fursa za kiuchumi zinazotokana na Jumuiya za Kikanda.

2. Kusimamia uimarishaji wa ushirikiano mwema na nchi marafiki na Taasisi za Kimataifa;

3. Kuwashajihisha na kuwashirikisha Wazanzibari Wanaoishi Nje ya Nchi kushiriki katika shughuli za imaendeleo ya kijamii na kiuchumi; na

4. Kuratibu masuala ya Itifaki ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

VISION. 
To be an Office that facilitates the engagement of Zanzibaris living in Diaspora, who will ultimately be part of Zanzibar development Stakeholders, devoted for socio-economic development.

MISSION.
To act as a bridge between the government of Zanzibar and Zanzibaris living in Diaspora, and preparing a Conducive environment for their effective engagement in socio-economic development of Zanzibar.
RESPONSIBILITIES OF THE DEPARTMENT OF INTERNATIONAL COOPERATION AND ZANZIBAR DIASPORA.