ZANZIBAR DIASPORA, washiriki kikao cha wadau wa Diaspora kwa njia ya mtandao uliyofanyika Ukumbi wa Tume ya Mipango, Zanzibar.

  • May 25, 2024
  • 12 Views

Kikao, hicho cha kujadili ushiriki wa diaspora katika Maendeleo ya Zanzibar kilifunguliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Dkt. Haji Gora Haji ambaye pia alijitambulisha rasmi kwa diaspora.

Naibu Mkurugenzi Idara Ya Ushirikiano Wa Kimataifa Na Uratibu Wa Wazanzibari Wanaoishi Nje Ya Nchi Ndg. Maryam R. Hamoud Akimkaribisha Mkurugenzi Mpya Ili Kutoa Ufafanuzi Juu Ya Shughuli Za Uratibu Wa Diaspora.
Maafisa Kutoka Idara Ushirikiano Wa Kimataifa Na Uratibu Wa Wazanzibari Wanaoishi Nje Ya Nchi Wakitoa Ufafanuzi Juu Ya Baadhi Ya Maoni Yaliowasilishwa Na Diaspora Wa Zanzibar.
Kikao Cha Wadau Wa Diaspora Kwa Njia Ya Mtandao Uliyofanyika Ukumbi Wa Tume Ya Mipango Zanzibar.

Related Articles