Waziri wa Nchi Afisi ya Rais - Ikulu Zanzibar Dkt Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na na Watendaji Wakuu na Maafisa kutoka Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora - Afi
- Dec 17, 2025
- 1 Views
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais - Ikulu Zanzibar Dkt Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na na Watendaji Wakuu na Maafisa kutoka Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora - Afisi ya Rais Ikulu na Kitengo cha Diaspora, Ushirikishwaji na Fursa - Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Tanzania waliofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
