Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora

News and Events

UJIO WA MADAKTARI MA DIASPORA KUTOKA MAREKANI


Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora Ndg Adila Vuai Hilal pamoja na Uwongozi wa PBZ wakiwapokea Ma Daktari Ma Diaspora
 • Afisa wa Idara ya Diaspora Ndg; Salum Moh'd Ramia akiongozana na Ma Diaspora Bandari ya Zanzibari katika ujio wao.

 • Mkurugenzi wa Diaspora Ndg; Adila V Hilal akibadilishana mawazo na mmoja wa Madakrai Madaispora kutoka Marekani

 • Huduma zikitolewa na Madaktari Madiaspora katika hospitali ya Mnazi Mmoja katika kitengo cha Dawa.

 • Madktari Madaispora waki toa huduma na maelekezo katika kitengo cha meno hospitali ya Mnazi Mmoja

 • Madaktari Madaispora wakitoa huduma na maelekezo katika kitengo cha upimaji sukari spitali ya Mnazi Mmoja

 • Makabidhiano ya Vifaa na Dawa kwa Wizara ya Afya Zanzibar.

 • Makabidhiano ya Vifaa na Dawa kwa Wizara ya Afya Zanzibar.

 • Picha ya kumbukumbu ya Madaispora pamoja na Katibu Mkuu ofisi ya Rias Ikulu na Utawala Bora baada ya makabidhiano ya vifaa na Dawa Wizara ya Afya zanzibar.

 • Daktari Nofil akiwapokea Ma Daktari wana Diaspora katika Spitali ya Mnazi Mmoja.

 • Zawadi kwa Madaktari Ma Diaspora ikiwa ni ukumbusho wa huduma zilizo tolewa

 • Neno la shukrani kutoka kwa Dean wa Madaktari.

 • Kuwaga Madaktari baada ya kutoa huduma na vifaa katika spitali ya Mnazi Mmoja.

 • Google+
 • PrintFriendly