Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora

News and Events

semina ya diaspora kwa masheha wa Wilaya ya Mjini Zanzibar.


Picha ya pamoja iliyopigwa na washiriki wa semina ya Diaspora. Kutoka kushoto ni Sheha wa Shehia ya Mchangani ndugu Nassir Ali, Mkurugenzi wa Diaspora nd. Adila Hilal Vuai, Mgeni rasmi aliyefungua semina hiyo Marine Joel Thomas na Suleiman Muhsin Afisa wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

  • Google+
  • PrintFriendly