News and Events
Mkutano wa wanadiaspora na idara ua uhamiaji zanzibar

Wa kwanza kushoto ni Afisa Sheria wa Uhamiaji ndugu Chum K. Amour akitolea ufafanuzi juu ya sifa na mahitaji ya kikanuni na kisheria zinazohitajika kwa wanadiaspora kupatiwa vibali vya ukaazi na kazi.