Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora

News and Events

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAZANZIBAR WANAOISHI SCANDINAVIA


Picha ya pamoja ya wana Jumuiya Scandinavia na Ujumbe kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Sweden
  • Mwakilishi mkaazi wa jumuiya ya Wazanzibari Scandinavia ndugu Hamad Hamad akitoa maelezo kuhusu utekelezaji wa miradi mbali mbali ya Jumuiya.

  • Mweyekiti wa Zandias akipokea zawadi maalum kutoka kwa Katibu mkuu Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Zanzibar

  • Mjumbe maalum wa GoZanzibar Germany akipokea zawadi maalum kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Zanziabar.

  • Mwekiti wa Jumuia ya Waznzibari Scandinavia ndugu Idarus A Sharif akifunguwa mkutano wa mwaka wa Jumuiya.

  • Mratabu wa Diaspora,Ofisi ya Rais Ikulu na Ushirikiano wa Kimataifa Zanzibar Ndugu Hassan Hafidh akisikiiza kwa makani maoni ya wana Diaspora Scandinavia.

  • Katibu Mkuu Ofisi ya rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar ndugu Salum Maulid Salum ndio aliekuwa mgeni wa heshima katika mkutano wa mwaka wa wana Diaspora Scandinavia tarehe 04-04-2015 nchini Danmark.

  • Google+
  • PrintFriendly