Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora

News and Events

ZACADIA YATOA MSAADA WA VITABU KWA TAASISI ZA ELIMU ZANZIBAR


Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Zanzibar Ndugu Adila Hilal Vuai alipokuwa akikabidhi msaada wa vitabu vya aina mbalimbali kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar vyenye thamani ya shilingi 1,465,380,000/= vilivyotolewa na Jumuiya ya Wazanzibari wanaoishi nchini Canada (Zanzibar Canadian Diaspora - ZACADIA).

  • Google+
  • PrintFriendly