Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora

News

15
Nov
2016

MASHEHA WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAPATIWA ELIMU YA DIASPORA

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja ndugu Vuai Mwinyi Khamis amewataka masheha wa Mkoa huo kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi wao kutambua juu ya nafasi ya mchango waliokuwa nao wazanzibari wanaoishi nchi za nje katika kuchangia miradi mbali mbali ya kiuchumi na kijamii katika nchi… Read More

13
Nov
2016

WANADIASPORA WATOA MISAADA ZANZIBAR

Baadhi ya samani zilizotolewa na Wazanzibari wanaoishi Seattle nchini Marekani kama msaada kwa wananchi wa Zanzibar kusaidia upungufu wa madawati kwenye Skuli za Sekondari. Waliofaidika na msaada huo ni wanafunzi wa Skuli za Sekondari wa Lumumba na Tumekuja kwa Unguja na Fidel Castro… Read More

02
Aug
2016

Kuelekea Kongamano la Diaspora 24-25 Agosti 2016

Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Redio za FM kuhusu kongamano la Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora) linalotarajiwa kufanyika Agosti 24… Read More

01
Aug
2016

WANADIASPORA WA ZANZIBAR WAPONGEZWA KILA KONA

Masheha wa Wilaya ya Mjini pamoja na wananchi kutoka vijji mbali mbali na taasisi za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka Unguja na Pemba wamewapongeza na kuwashukuru Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi kwa kuitikia wito wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuanzisha Jumuia zao… Read More

28
Jul
2016

MASHEHA WILAYA YA MJINI WAPATIWA ELIMU JUU KUWEPO KITENGO CHA DIASPORA ZANZIBAR

Masheha katika Wilaya ya Mjini wametakiwa kuwa na utaratibu mzuri utakaohakikisha kwamba wanashirikiana vizuri na Wanadiaspora yaani wazanzibari wanaoishi nje ya nchi wakati wanapofika katika maeneo yao kwa lengo la kuratibu shughuli za utoaji wa misaada katika jamii zao. Read More

28
Jul
2016

semina ya diaspora kwa masheha wa Wilaya ya Mjini Zanzibar.

Picha ya pamoja iliyopigwa na washiriki wa semina ya Diaspora. Kutoka kushoto ni Sheha wa Shehia ya Mchangani ndugu Nassir Ali, Mkurugenzi wa Diaspora nd. Adila Hilal Vuai, Mgeni rasmi aliyefungua semina hiyo Marine Joel Thomas na Suleiman Muhsin Afisa wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Read More