Events
Apr
2019
JUMUIA YA AHAS GROUPS YATOA VIFAA VYA SKULI NA HOSPITALI UNGUJA.
Jumuia ya Wazanzibari wanaoishi nchini Dermark ya ‘AHAS GROUP’ mapema mwezi wa April 2019 iliendelea na utaratibu wake wa utoaji wa msaada wa vifaa kwa Skuli ya Sekondari ya Kidongo Chekundu, Hospitali ya Mnazi Mmoja zilizopo Wilaya ya Mjini na Hospitali ya Cottage ya Kivunge… Read More
Aug
2018
6th Tanzania Diaspora Conference 2019
Mgeni rasmi katika kongamano hilo ni Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Wahi sasa kufanya usajili Read More
Nov
2017
Mkutano wa wanadiaspora na idara ua uhamiaji zanzibar
Wa kwanza kushoto ni Afisa Sheria wa Uhamiaji ndugu Chum K. Amour akitolea ufafanuzi juu ya sifa na mahitaji ya kikanuni na kisheria zinazohitajika kwa wanadiaspora kupatiwa vibali vya ukaazi na kazi. Read More
Nov
2017
Mkutano wa wanadiaspora na idara ua uhamiaji zanzibar
Baadhi ya wanadiaspora wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Bi Adila Hilal Vuai akifafanua baadhi ya hoja na michango wakati wa mkutano huo. Read More
Nov
2017
OR NA MBLM ZANZIBAR YAFANYA KIKAO NA IDARA YA UHAMIAJI ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nchi za nje Adila Hilal Vuai amesema kuwa Idara yake inakusudia kujenga mashirikiano ya karibu zaidi na Idara ya Uhamiaji Zanzibar ili kuona inazipatia ufumbuzi wa haraka baadhi ya changamoto wanazozipata… Read More
Nov
2017
Naibu Waziri wa Afya wa SMZ Bi Mwanaharusi Said Suleiman
akizungumza na Jumuiya ya watanzania Waishio Seattle Washington Marekani Read More