Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora

News and Events

30
Nov
2017

OR NA MBLM ZANZIBAR YAFANYA KIKAO NA IDARA YA UHAMIAJI ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nchi za nje Adila Hilal Vuai amesema kuwa Idara yake inakusudia kujenga mashirikiano ya karibu zaidi na Idara ya Uhamiaji Zanzibar ili kuona inazipatia ufumbuzi wa haraka baadhi ya changamoto wanazozipata… Read More

17
Nov
2017

Naibu Waziri wa Afya wa SMZ Bi Mwanaharusi Said Suleiman

akizungumza na Jumuiya ya watanzania Waishio Seattle Washington Marekani Read More

16
Mar
2017

WAJASIRIAMALI PEMBA WAPIGWA MSASA KATIKA KUELEKEA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA MASHARIKI.

Wajasiriamali wa vikundi mbali mbali vya uzalishaji mali vikiwemo vikundi vya ushirika vya kuweka na kukopa vya SACCOS vya Mkoa wa Kusini na Kaskazini Pemba wametakiwa kutengeza na kuzalisha bidhaa bora na zenye viwango ambazo zitaweza kukidhi haja ya ushindani wa Soko la Pamoja la… Read More

06
Dec
2016

Masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Semina ya Diaspora Chake Chake Pemba

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwajuma Majid Abdalla mwenye mtandio mwekundu akiwa katika picha ya pamoja na Masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba, kushoto ni Afisa Mdhamini wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimaifa… Read More

06
Dec
2016

Ufunguzi wa Semina ya Diaspora na Maendeleo na umuhimu wa Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Aliyesimama ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimaifa na uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Ndugu Adila Hilal Vuai akitoa maelezo ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwajuma Majid Abdalla kufungua Semina ya siku moja kuhusiana Diaspora na Maendeleo na… Read More

15
Nov
2016

MASHEHA WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAPATIWA ELIMU YA DIASPORA

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja ndugu Vuai Mwinyi Khamis amewataka masheha wa Mkoa huo kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi wao kutambua juu ya nafasi ya mchango waliokuwa nao wazanzibari wanaoishi nchi za nje katika kuchangia miradi mbali mbali ya kiuchumi na kijamii katika nchi… Read More

13
Nov
2016

WANADIASPORA WATOA MISAADA ZANZIBAR

Baadhi ya samani zilizotolewa na Wazanzibari wanaoishi Seattle nchini Marekani kama msaada kwa wananchi wa Zanzibar kusaidia upungufu wa madawati kwenye Skuli za Sekondari. Waliofaidika na msaada huo ni wanafunzi wa Skuli za Sekondari wa Lumumba na Tumekuja kwa Unguja na Fidel Castro… Read More