Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora

News and Events

22
Oct
2014

ZIARA YA MAFUNZO NCHINI INDIA

Katibu Mkuu Wizara ya Diaspora nchini India Ndugu Shri. Prem Narain (Wa pili kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Ndugu Salum Maulid Salum wakibadilishana mawazo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara zao katika Wizara… Read More

19
Sep
2014

Wasifu wa Marehemu Khamis Ali Khamis.

Marehemu Khamis Ali Khamis alizaliwa tarehe 28 Oktoba, 1962 Zanzibar. Alianza elimu yake ya msingi mwaka 1969 na kumalizia elimu ya Sekondari hapa hapa Zanzibar mwaka 1983. Katika mwaka 1986 alianza masomo ya Stashahada ya lugha katika Taasisi ya Kiswahili na Lugha za Kigeni kabla… Read More

12
Aug
2014

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akutana na wazanzibari wanaoishi nchi za nje

Ilikuwa ni tukio la aina yake, wakati Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein alipokutana na Wazanzibari wanaoishi nchi za nje katika hafla ya Chakula cha mchana aliyoiandaa kwa ajili yao katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar tarehe… Read More

10
Aug
2014

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed

Shein,akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nchi za nje (Diaspora) wakati alipowaalika katika chakula maalum katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. Read More

10
Aug
2014

Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) wakiwa katika

hafla ya chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar. Read More

21
Mar
2014

SMZ yaandaa sera ya diaspora kuvutia walio nje

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema tayari imeweka mazingira mazuri ambayo yatasaidia Wazanzibari waliopo nje ya nchi kuwekeza Zanzibar na kusaidia katika miradi mbalimbali. Hayo yalisemwa na Mshauri wa Rais anayeshughulikia vitega uchumi na uwekezaji Balozi Mohamed Ramia wakati… Read More

03
Jan
2014

Zanzibar’s standard of living improves

Standard of living in Zanzibar has gone up with statistics showing income per person climbing to over one million shillings in a year. Read More