News and Events
Aug
2016
Kuelekea Kongamano la Diaspora 24-25 Agosti 2016
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Redio za FM kuhusu kongamano la Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora) linalotarajiwa kufanyika Agosti 24… Read More
Aug
2016
WANADIASPORA WA ZANZIBAR WAPONGEZWA KILA KONA
Masheha wa Wilaya ya Mjini pamoja na wananchi kutoka vijji mbali mbali na taasisi za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka Unguja na Pemba wamewapongeza na kuwashukuru Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi kwa kuitikia wito wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuanzisha Jumuia zao… Read More
Jul
2016
MASHEHA WILAYA YA MJINI WAPATIWA ELIMU JUU KUWEPO KITENGO CHA DIASPORA ZANZIBAR
Masheha katika Wilaya ya Mjini wametakiwa kuwa na utaratibu mzuri utakaohakikisha kwamba wanashirikiana vizuri na Wanadiaspora yaani wazanzibari wanaoishi nje ya nchi wakati wanapofika katika maeneo yao kwa lengo la kuratibu shughuli za utoaji wa misaada katika jamii zao. Read More
Jul
2016
semina ya diaspora kwa masheha wa Wilaya ya Mjini Zanzibar.
Picha ya pamoja iliyopigwa na washiriki wa semina ya Diaspora. Kutoka kushoto ni Sheha wa Shehia ya Mchangani ndugu Nassir Ali, Mkurugenzi wa Diaspora nd. Adila Hilal Vuai, Mgeni rasmi aliyefungua semina hiyo Marine Joel Thomas na Suleiman Muhsin Afisa wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Read More
Oct
2014
ZIARA YA MAFUNZO NCHINI INDIA
Katibu Mkuu Wizara ya Diaspora nchini India Ndugu Shri. Prem Narain (Wa pili kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Ndugu Salum Maulid Salum (Wa Pili kutoka kulia) pamoja na watendaji wake katika picha ya pamoja ya kuagana… Read More