News and Events
Apr
2019
JUMUIA YA AHAS GROUPS YATOA VIFAA VYA SKULI NA HOSPITALI UNGUJA.
Jumuia ya Wazanzibari wanaoishi nchini Dermark ya ‘AHAS GROUP’ mapema mwezi wa April 2019 iliendelea na utaratibu wake wa utoaji wa msaada wa vifaa kwa Skuli ya Sekondari ya Kidongo Chekundu, Hospitali ya Mnazi Mmoja zilizopo Wilaya ya Mjini na Hospitali ya Cottage ya Kivunge… Read More
Aug
2018
ZACADIA YATOA MSAADA WA VITABU KWA TAASISI ZA ELIMU ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Zanzibar Ndugu Adila Hilal Vuai alipokuwa akikabidhi msaada wa vitabu vya aina mbalimbali kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar vyenye thamani ya shilingi 1,465,380,000/= vilivyotolewa na Jumuiya ya… Read More
Aug
2018
ZACADIA YATOA MSAADA WA VITABU KWA TAASISI ZA ELIMU ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Zanzibar Ndugu Adila Hilal Vuai ameendelea kuwashajihisha Wazanzibari wanaoishi Nchi za Nje kuitikia wito wa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein wa kushiriki… Read More
Aug
2018
6th Tanzania Diaspora Conference 2019
Mgeni rasmi katika kongamano hilo ni Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Wahi sasa kufanya usajili Read More
Nov
2017
Mkutano wa wanadiaspora na idara ua uhamiaji zanzibar
Wa kwanza kushoto ni Afisa Sheria wa Uhamiaji ndugu Chum K. Amour akitolea ufafanuzi juu ya sifa na mahitaji ya kikanuni na kisheria zinazohitajika kwa wanadiaspora kupatiwa vibali vya ukaazi na kazi. Read More
Nov
2017
Mkutano wa wanadiaspora na idara ua uhamiaji zanzibar
Baadhi ya wanadiaspora wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Bi Adila Hilal Vuai akifafanua baadhi ya hoja na michango wakati wa mkutano huo. Read More