Photo Gallery
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nchi za nje (Diaspora) wakati alipowaalika katika chakula maalum leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Tarehe 9 Augost 2014.
- Picha mbali mbali zenye kuonyesha shudhuli za Diaspora zanzibar.