Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora

News

12
Aug
2014

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akutana na wazanzibari wanaoishi nchi za nje

Ilikuwa ni tukio la aina yake, wakati Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein alipokutana na Wazanzibari wanaoishi nchi za nje katika hafla ya Chakula cha mchana aliyoiandaa kwa ajili yao katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar tarehe… Read More

10
Aug
2014

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed

Shein,akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nchi za nje (Diaspora) wakati alipowaalika katika chakula maalum katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. Read More

10
Aug
2014

Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) wakiwa katika

hafla ya chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar. Read More

10
Aug
2014

Bi Hafsa Hassan Mbamba kwa niaba ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje

(Diaspora) akitoa neno la shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa mwaliko huo na kutoa pongezi kwa jitihada zinazo chukuliwa na Mheshimiwa Rais na Serikali yake kwa ujumla,baada ya hafla ya chakula katika viwanja vya Ikulu Mjini… Read More

21
Mar
2014

SMZ yaandaa sera ya diaspora kuvutia walio nje

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema tayari imeweka mazingira mazuri ambayo yatasaidia Wazanzibari waliopo nje ya nchi kuwekeza Zanzibar na kusaidia katika miradi mbalimbali. Hayo yalisemwa na Mshauri wa Rais anayeshughulikia vitega uchumi na uwekezaji Balozi Mohamed Ramia wakati… Read More

03
Jan
2014

Zanzibar’s standard of living improves

Standard of living in Zanzibar has gone up with statistics showing income per person climbing to over one million shillings in a year. Read More

19
Feb
2012

Zanzibaris In Canada Form A Diaspora Association

With the recent creation of a new Department of International Cooperation and Zanzibar Diaspora (DICZD) in Zanzibar, under the Ministry of State in the President's and Chairman of the Revolutionary Council's Office, Zanzibaris living in Canada have just formed an association of their… Read More