Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora

News

30
Nov
2017

OR NA MBLM ZANZIBAR YAFANYA KIKAO NA IDARA YA UHAMIAJI ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nchi za nje Adila Hilal Vuai amesema kuwa Idara yake inakusudia kujenga mashirikiano ya karibu zaidi na Idara ya Uhamiaji Zanzibar ili kuona inazipatia ufumbuzi wa haraka baadhi ya changamoto wanazozipata… Read More

17
Nov
2017

Naibu Waziri wa Afya wa SMZ Bi Mwanaharusi Said Suleiman

akizungumza na Jumuiya ya watanzania Waishio Seattle Washington Marekani Read More

17
Nov
2017

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Na Mexico Mhe. Wilson Masilingi

akizungumza na watanzania washio marekani katika jukwaa la Afya lililoandaliwa na DICOTA katika kuwakutanisha wadau wote wa nje na ndani ya Marekani, Jukwaa hilo lilifanyika tarehe 11,Novenber, 2017. Martins Crosswind Green Belt, Maryland nchini marekani. Read More

31
Oct
2017

Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Yazungumza na Wanadiaspora.

Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na uratibu wa Diaspora Zanzibar ilikutana na wajumbe na wawakilishi wa Jumuiya mbalimbali za Wazanzibari wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora) kwa lengo la kujadili namna nzuri ya kuimarisha mashirikiano baina ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za Nje na Idara… Read More

16
Mar
2017

WAJASIRIAMALI PEMBA WAPIGWA MSASA KATIKA KUELEKEA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA MASHARIKI.

Wajasiriamali wa vikundi mbali mbali vya uzalishaji mali vikiwemo vikundi vya ushirika vya kuweka na kukopa vya SACCOS vya Mkoa wa Kusini na Kaskazini Pemba wametakiwa kutengeza na kuzalisha bidhaa bora na zenye viwango ambazo zitaweza kukidhi haja ya ushindani wa Soko la Pamoja la… Read More

15
Nov
2016

MASHEHA WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAPATIWA ELIMU YA DIASPORA

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja ndugu Vuai Mwinyi Khamis amewataka masheha wa Mkoa huo kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi wao kutambua juu ya nafasi ya mchango waliokuwa nao wazanzibari wanaoishi nchi za nje katika kuchangia miradi mbali mbali ya kiuchumi na kijamii katika nchi… Read More