Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora

News and Events

30
Nov
2017

Mkutano wa wanadiaspora na idara ua uhamiaji zanzibar

Wa kwanza kushoto ni Afisa Sheria wa Uhamiaji ndugu Chum K. Amour akitolea ufafanuzi juu ya sifa na mahitaji ya kikanuni na kisheria zinazohitajika kwa wanadiaspora kupatiwa vibali vya ukaazi na kazi. Read More

30
Nov
2017

Mkutano wa wanadiaspora na idara ua uhamiaji zanzibar

Baadhi ya wanadiaspora wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Bi Adila Hilal Vuai akifafanua baadhi ya hoja na michango wakati wa mkutano huo. Read More

30
Nov
2017

OR NA MBLM ZANZIBAR YAFANYA KIKAO NA IDARA YA UHAMIAJI ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nchi za nje Adila Hilal Vuai amesema kuwa Idara yake inakusudia kujenga mashirikiano ya karibu zaidi na Idara ya Uhamiaji Zanzibar ili kuona inazipatia ufumbuzi wa haraka baadhi ya changamoto wanazozipata… Read More

17
Nov
2017

Naibu Waziri wa Afya wa SMZ Bi Mwanaharusi Said Suleiman

akizungumza na Jumuiya ya watanzania Waishio Seattle Washington Marekani Read More

17
Nov
2017

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Na Mexico Mhe. Wilson Masilingi

akizungumza na watanzania washio marekani katika jukwaa la Afya lililoandaliwa na DICOTA katika kuwakutanisha wadau wote wa nje na ndani ya Marekani, Jukwaa hilo lilifanyika tarehe 11,Novenber, 2017. Martins Crosswind Green Belt, Maryland nchini marekani. Read More

31
Oct
2017

Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Yazungumza na Wanadiaspora.

Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na uratibu wa Diaspora Zanzibar ilikutana na wajumbe na wawakilishi wa Jumuiya mbalimbali za Wazanzibari wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora) kwa lengo la kujadili namna nzuri ya kuimarisha mashirikiano baina ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za Nje na Idara… Read More