Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora
 • WAJASIRIAMALI PEMBA WAPIGWA MSASA KATIKA KUELEKEA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA MASHARIKI.

  WAJASIRIAMALI PEMBA WAPIGWA MSASA KATIKA KUELEKEA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA MASHARIKI.

  Wajasiriamali wa vikundi mbali mbali vya uzalishaji mali vikiwemo vikundi vya ushirika vya kuweka na kukopa vya SACCOS vya Mkoa wa Kusini na Kaskazini Pemba wametakiwa kutengeza na kuzalisha bidhaa bora na zenye viwango ambazo zitaweza kukidhi haja ya ushindani wa Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika…

 • Masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Semina ya Diaspora Chake Chake Pemba

  Masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Semina ya Diaspora Chake Chake Pemba

  Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwajuma Majid Abdalla mwenye mtandio mwekundu akiwa katika picha ya pamoja na Masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba, kushoto ni Afisa Mdhamini wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimaifa na uratibu wa Wazanzibari…

 • Ufunguzi wa Semina ya Diaspora na Maendeleo na umuhimu wa Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

  Ufunguzi wa Semina ya Diaspora na Maendeleo na umuhimu wa Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

  Aliyesimama ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimaifa na uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Ndugu Adila Hilal Vuai akitoa maelezo ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwajuma Majid Abdalla kufungua Semina ya siku moja kuhusiana Diaspora na Maendeleo na umuhimu wa Mtangamano…

 • MASHEHA WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAPATIWA ELIMU YA DIASPORA

  MASHEHA WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAPATIWA ELIMU YA DIASPORA

  Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja ndugu Vuai Mwinyi Khamis amewataka masheha wa Mkoa huo kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi wao kutambua juu ya nafasi ya mchango waliokuwa nao wazanzibari wanaoishi nchi za nje katika kuchangia miradi mbali mbali ya kiuchumi na kijamii katika nchi yao.

 • WANADIASPORA WATOA MISAADA ZANZIBAR

  WANADIASPORA WATOA MISAADA ZANZIBAR

  Baadhi ya samani zilizotolewa na Wazanzibari wanaoishi Seattle nchini Marekani kama msaada kwa wananchi wa Zanzibar kusaidia upungufu wa madawati kwenye Skuli za Sekondari. Waliofaidika na msaada huo ni wanafunzi wa Skuli za Sekondari wa Lumumba na Tumekuja kwa Unguja na Fidel Castro na Madungu kwa Pemba.

Welcome to Zanzibar Diaspora

The Department of International Cooperation has been accorded an additional mandates of Coordinating Diaspora affairs with view to engaging them in socio – economic development of Zanzibar. Diaspora Unit has housed within the Department of International Cooperation, in the office of The President and Chairman of Revolutionary Council.

read more
 • Why Zanzibar Diaspora

  A growing body of evidence suggests that diasporas play a critical role in supporting sustainable development by transferring resources, knowledge, and ideas back to their home countries, and in integrating their countries of origin into the global economy. Financial flows from migrants and their descendants are at the heart of the relationship between migration and development. While remittances have important effects on financial development,… read more

 • Important Services
  This Section is Being Updated!
 • Take Action
  This Section is Being Updated!

Investments & Attractions